sw_tn/1sa/25/39.md

866 B

Taarifa ya jumla:

Daudi anajitoa kumlinda Abigaili kwa kumuoa.

Bwana abarikiwe

(1) "namtukuza Bwana" au 2) "watu wote wamtukuze Bwana"

aliyenichukulia hatua ya shutuma yangu kutoka mkono wa Nabali

"aliyenitetea baada ya Nabali kunidhihaki"

aliyenichukulia hatua ya shutuma yangu

Hii yaweza kuwa na maana ya "amenionesha kuwa nililokuwa nalifanya lilikuwa sahihi kwa Kumuadhibu Nabali aliyenidhihaki"

na kumzuia mtumishi wake asifanye maovu

Daudi anazungumza hivi kuonesha heshima kwa Bwana "alinizuia nisifanye uovu"

Na amemrudishia Nabali tendo la uovu juu ya kichwa chake mwenyewe

"amemfanyia Nabdali jambo ambali Nabali alipanga kunifanyia"

juu ya kichwa chake mwenyewe

"juu yake"

akawatuma wakaongee na Abigaili, ili amchukue awe mke wake

"akawatuma watu waongee na Abigaili na kumwambia kuwa Daudi anataka kumchukua awe mke wake.