sw_tn/1sa/25/39.md

32 lines
866 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya jumla:
Daudi anajitoa kumlinda Abigaili kwa kumuoa.
# Bwana abarikiwe
2021-09-10 23:29:28 +00:00
(1) "namtukuza Bwana" au 2) "watu wote wamtukuze Bwana"
2019-05-21 20:17:16 +00:00
# aliyenichukulia hatua ya shutuma yangu kutoka mkono wa Nabali
"aliyenitetea baada ya Nabali kunidhihaki"
# aliyenichukulia hatua ya shutuma yangu
Hii yaweza kuwa na maana ya "amenionesha kuwa nililokuwa nalifanya lilikuwa sahihi kwa Kumuadhibu Nabali aliyenidhihaki"
# na kumzuia mtumishi wake asifanye maovu
Daudi anazungumza hivi kuonesha heshima kwa Bwana "alinizuia nisifanye uovu"
# Na amemrudishia Nabali tendo la uovu juu ya kichwa chake mwenyewe
"amemfanyia Nabdali jambo ambali Nabali alipanga kunifanyia"
# juu ya kichwa chake mwenyewe
"juu yake"
# akawatuma wakaongee na Abigaili, ili amchukue awe mke wake
"akawatuma watu waongee na Abigaili na kumwambia kuwa Daudi anataka kumchukua awe mke wake.