forked from WA-Catalog/sw_tn
89 lines
5.1 KiB
Markdown
89 lines
5.1 KiB
Markdown
# Chema, wema
|
|
|
|
Neno "wema" lina maana tofauti kulingana na muktadha. Lugha nyingi zitatumia maneno tofauti kutafsiri hizi maana tofauti.
|
|
|
|
* Kwa ujumla, kitu ni chema kama kinalingana na tabia ya Mungu, kusudi, na mapenzi.
|
|
* Kitu ambacho ni "chema" cha weza pendeza, bora, saidia, kufaa, faidisha, au kubalika kimaadili.
|
|
* Ardhi iliyo "njema" yaweza itwa "rotubisha" au "inayozalisha."
|
|
* Zao "jema" la weza kuwa zao "tele"
|
|
* Mtu anaweza kuwa "mwema" kwa kile anachofanya kama wana ujuzi kwa kazi yao au ajira, kama, "mkulima mwema."
|
|
* Katika Biblia, maana ya jumla ya "jema" mara nyingi utofautishwa na "uovu"
|
|
* Neno "wema" mara kwa mara la husu kuwa na maadili mema au wenye haki katika mawazo na matendo.
|
|
* Wema wa Mungu wa husu jinsi anavyo bariki watu kwa kuwapa vitu vyema na vya faida. Yaweza pia kumaanisha ukamilifu wake wa adili.
|
|
|
|
# uaminifu wa agano, utii wa agano, upendo mwema, upendo usio shindwa
|
|
|
|
Hili neno la tumika kuelezea kujitolea kwa Mungu kutimiza ahadi alizo ziweka kwa watu.
|
|
|
|
* Mungu alifanya ahadi kwa Waisraeli katika makubaliano rasmi yani "maagano"
|
|
* "uaminifu wa agano" au "utii wa agano" la Yahweh ya husu ukweli kwamba Yahweh ana shika ahadi zake kwa watu wake.
|
|
* Uaminifu wa Mungu wa kushika ahadi za agano lake ni muonekano wa neema yake kwa watu wake.
|
|
* Neno "utii" ni neno lingine linalo husu kuwa muhusika na kutegemewa kufanya na kusema yale yaliyo ahidiwa na kumsaidia mtu mwengine.
|
|
|
|
# dumu, kudumu
|
|
|
|
Neno "dumu" la maanisha kubaki kwa kipindi kirefu au kuvumili kitu kigumu kwa subira.
|
|
|
|
* Lina maana pia ya kusimama imara kipindi majaribu yanapo kuja, bila kukata tamaa.
|
|
* Neno "kudumu" la weza maanisha "subira" "kustahimili mapito" au "kuvumilia wakati wa dhiki"
|
|
* Faraja ya kwa Wakristo "kudumu ata mwisho" ya waeleza wa mtii Yesu, ata kama hili litawa sababisha wateseke.
|
|
* Ku "vumilia mateso" ya weza maanisha pia "kupitia mateso"
|
|
|
|
# milele
|
|
|
|
Kwenye Biblia, neno "milele" la eleza muda usio kwisha. Wakati mwengine la tumika kifumbo kumaanisha, "muda mrefu sana"
|
|
|
|
* Neno "milelel na milele" la tilia mkazo kwamba kitu kita kuwepo tu.
|
|
* Maneno "milele na milele" ni namna ya kueleza umilele au uzima wa milele ni nini. Pia lina wazo la muda usio kwisha.
|
|
* Mungu alisema kuwa kiti cha Daudi kitadumu "milele". Hili linahusu ukweli kwamba mzao wa Daudi Yesu ata tawala kama mfalme hadi mwisho.
|
|
|
|
# Mungu
|
|
|
|
Katika Biblia, neno "Mungu" la husu kiumbe wa milele aliye umba ulimwengu bila chochote. Mungu yupo kama Baba, Mwana, na Roho Mtakatifu. Jina la Mungu la binafsi ni "Yahweh"
|
|
|
|
* Mungu amekuwepo daima; amekuwepo kabla ya chochote kuwepo, na ataendelea kuwepo milele.
|
|
* Yeye ndie Mungu pekee wa kweli na ana mamlaka juu kila kitu katika ulimwengu.
|
|
* Mungu ni mwenye haki kamilifu, wa hekima isiyo na mwisho, mtakatifu, wa haki, wa rehema, na wa upendo.
|
|
* Yeye ni Mungu mtunza agano, anaye timiza maagano yake.
|
|
* Watu waliumbwa wamuabudu Mungu na ni yeye tu wamuabudu.
|
|
* Mungu alirihidhisha jina lake kama "Yahweh" lenye maana ya, "yupo" au "Mimi ndiye" au "Yeye ambaye (daima) yupo."
|
|
* Biblia ya fundisha kuhusu "miungu" ya uongo ambayo ni sanamu isio ishi watu waabuduo kwa makosa.
|
|
|
|
# wokovu
|
|
|
|
Neno "wokovu" la husu kuokolewa au kukombolewa kutoka kwenye uovu na hatari.
|
|
|
|
* Katika Biblia, "wokovu" wa husu ukombozi wa kiroho na wa milele unao tolewa na Mungu kwao wanao tubu dhambi zao na kumuamini Yesu.
|
|
* Biblia pia ya zungumzia Mungu kuokoa au kukomboa watu kwa adui zao wa mwilini.
|
|
|
|
# jina
|
|
|
|
Katika Biblia, neno "jina" linatumika kwa mfumbo kadhaa.
|
|
|
|
* Baadhi ya Muktadha, "jina" la weza husu sifa ya mtu, kama vile, "acha tujfanyie jina"
|
|
* Neno "jina" la weza pia kuhusu kumbukumbu ya kitu. Kwa mfano, "kata majina ya sanamu" maana yake kuharibu hizo sanamu ili kwamba wasiendelee kukumbukwa au kuabudiwa.
|
|
|
|
Kuzungumza "katika jina la Mungu" ya maanisha kusema kwa nguvu na mamlaka, au kama mwakilishi wake.
|
|
|
|
* "Jina" la mtu la weza husu huyo mtu kwa ujumla, kama "hakuna jina chini ya mbingu ambalo la tupasa kuokolewa."
|
|
|
|
# ufukufu
|
|
|
|
Kwa ujumla, neno "utukufu" la maanisha heshima, uzuri, na ukubwa wa ajabu. Chochote chenye utukufu cha semekana kuwa na "utukufu"
|
|
|
|
* Wakati mwengine "utukufu" ya husu kitu cha dhamani kubwa na umuhimu. Katika muktadha mengine ina eleza uzuri, mwanga, au hukumu.
|
|
* Kwa mfano, msemo "utukufu wa wachungaji" ya husu malisho tele kondoo wao walipo kuwa na nyasi nyingi ya kula.
|
|
* Utukufu wa tumika sana kumueleza Mungu, ambaye ana utukufu kuliko mtu au kitu chochote katika ulimwengu. Kila kitu katika tabia yake ya rihidhisha utukufu na uzuri wake.
|
|
* Msemo "kufurahia utukufu" una maana ya kugamba kuhusu au kujivunia kitu.
|
|
|
|
# sifa
|
|
|
|
Kumsifu mtu ni kuonyesha matamanio na heshima kwa huyo mtu.
|
|
|
|
* Watu wanamsifu Mungu kwasababu kwa jinsi alivyo mkuu na kwasbabu ya matendo makuu aliyo fanya kama Muumbaji na Mwokozi wa ulimwengu.
|
|
* Sifa kwa Mungu muda mwing ya jumuisha kuwa na shukurani kwa aliyo ya fanya.
|
|
* Muziki na kuimba mara nyingi ya tumika kama njia ya kumsifu Mungu.
|
|
* Kumsifu Mungu ni sehemu ya maana ya kumuabudu.
|
|
* Neno "kusifu" la weza tafsiriwa kama, "kumzungumzia vizuri" au "kumheshimu sana kwa maneno" au "kusema mambo mazuri kuhusu"
|
|
* Jina "sifa" la weza tafsiriwa kama, "heshima ya kusema" au "hotuba inayo heshimu" au "kuzungumza mambo mazuri kuhusu"
|