sw_tn/mrk/08/intro.md

1.3 KiB

Marko 08 Maelezo ya Jumla

Dhana maalum katika sura hii

Mkate

Wakati Yesu alifanya muujiza na kulisha na mkate kwa umati mkubwa wa watu, labda walikumbuka wakati Mungu alifanya ajabu zamani akalisha watu wa Israeli jangwani.

Chachu ni kiungo kinachosababisha mkate kuwa kubwa kabla ya kuoka. Katika sura hii, Yesu anatumia chachu kama sitiari ya mambo ambayo yanabadili jinsi watu wanavyofikiri, kuzungumza, na kutenda. (See: rc://*/ta/man/translate/figs-metaphor)

"Kizazi cha uzinzi"

Wakati Yesu aliwaita watu "kizazi cha uzinzi," alikuwa akiwaambia kuwa hawakuwa waaminifu kwa Mungu. (See: [[rc:///tw/dict/bible/kt/faithful]] and [[rc:///tw/dict/bible/kt/peopleofgod]])

Takwimu muhimu za matamshi katika sura hii

Maswali ya uhuishaji

Yesu alitumia maswali mengi yauhuishaji kama njia ya kuwafundisha wanafunzi (Marko 8:17-21) na kuwakaripia watu (Marko 8:12). (See: rc://*/ta/man/translate/figs-rquestion)

Changamoto nyingine za kutafsiri katika sura hii

Kitendawili

Kitendawili ni taarifa ya kweli inayoonekana kuelezea kitu kisichowezekana. Yesu anatumia kitambo wakati anasema, "Yeyote anayetaka kuokoa maisha yake atayapoteza, na yeyote anayepoteza maisha yake kwa ajili yangu atayapata" (Marko 8:35-37).

<< | >>