sw_tn/sng/07/03.md

32 lines
678 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Mpenzi wa mwanamke anaendelea kuelezea yeye anaye mpenda.
# Maziwa yako mawili ni kama watoto wawili wa ayala, mapacha wa ayala
Ona jinsi ulivyo tafsiri: 4:4
# Shingo yako ni kama mnara wa pembe
Mpenzi analinganisha shingo yake na mnara uliyo tengenezwa kwa madini ya mapembe.
# macho yako ni kama maziwa ya Heshiboni
"macho yako ni meupe na yana ng'aa kama mabwawa ya maji ya Heshiboni."
# Heshiboni
jina la mji wa mashariki wa mto wa Yordani
# Bathi Rabimu
jina la mji
# Pua yako ni kama mnara wa Lebanoni
Pua yake ni ndefu na wima kama vile mnara uivyo mrefu na wima.
# ambao watazama Damasko
"unao wawezesha watu kutazama kuelekea Damasko"