# Maelezo ya Jumla Mpenzi wa mwanamke anaendelea kuelezea yeye anaye mpenda. # Maziwa yako mawili ni kama watoto wawili wa ayala, mapacha wa ayala Ona jinsi ulivyo tafsiri: 4:4 # Shingo yako ni kama mnara wa pembe Mpenzi analinganisha shingo yake na mnara uliyo tengenezwa kwa madini ya mapembe. # macho yako ni kama maziwa ya Heshiboni "macho yako ni meupe na yana ng'aa kama mabwawa ya maji ya Heshiboni." # Heshiboni jina la mji wa mashariki wa mto wa Yordani # Bathi Rabimu jina la mji # Pua yako ni kama mnara wa Lebanoni Pua yake ni ndefu na wima kama vile mnara uivyo mrefu na wima. # ambao watazama Damasko "unao wawezesha watu kutazama kuelekea Damasko"