sw_tn/pro/28/07.md

40 lines
480 B
Markdown

# yeye ashikaye sheria
"yeye ambaye anatii sheria ya Mungu"
# mwana mwenye ufahamu
"mwana anayefahamu"
# warafi
"watu wanaokula sana"
# humwaibisha baba yake
"humtia aibu baba yake"
# hufanikiwa
"huongeza utajiri wake"
# lipisha riba kubwa
"lipisha pesa ya ziada kwa kukopa"
# riba
pesa inayolipwa na mkopaji kwa kutumia pesa ya mtu mwingine
# hukusanya utajiri wake
"huleta mali zake pamoja"
# kwa mwingine
"mtu mwingine"
# huruma
"kumsikitikia mtu mwingine"