# yeye ashikaye sheria "yeye ambaye anatii sheria ya Mungu" # mwana mwenye ufahamu "mwana anayefahamu" # warafi "watu wanaokula sana" # humwaibisha baba yake "humtia aibu baba yake" # hufanikiwa "huongeza utajiri wake" # lipisha riba kubwa "lipisha pesa ya ziada kwa kukopa" # riba pesa inayolipwa na mkopaji kwa kutumia pesa ya mtu mwingine # hukusanya utajiri wake "huleta mali zake pamoja" # kwa mwingine "mtu mwingine" # huruma "kumsikitikia mtu mwingine"