sw_tn/heb/08/intro.md

796 B

Waebrania 08 Maelezo kwa jumla

Muundo na mpangilio

Mwandishi anamalizia kwa kufafanua jinsi gani na ni kwa nini Yesu ndiye kuhani mkuu muhumu. Halafu anaanza kuzungumzia jinsi agano jipya ni bora kuliko agano Mungu alifanya na Musa. (Tazama: rc://*/tw/dict/bible/kt/covenant)

Watafsiri wengine wametenga kila msitari wa ushairi kulia kuliko maandishi mengine ili isomeke kwa urahisi. ULB inafanya hivi na ushairi katika 8:8-12, ambayo ni maneno kutoka Agano la Kale.

Dhana muhimu katika sura hii.

Agano jipya

Mwandishi anaelezea jinsi Yesu ameanzisha agano jipya ambalo ni bora kuliko agano Mungu alianzisha na wana wa Israeli. (Tazama: rc://*/tw/dict/bible/kt/covenant)

<< | >>