sw_tn/gal/05/intro.md

30 lines
1.1 KiB
Markdown

# Wagalatia 05 Maelezo ya Jumla
## Muundo na upangiliaji
Paulo anaendelea kuandika juu ya sheria ya Musa kama kitu kinachomtega mtu au kumfanya mtumwa. (See: [[rc://*/tw/dict/bible/kt/lawofmoses]])
## Dhana maalum katika sura hii
### Tunda la Roho
aneno "tunda la Roho" sio wingi, ingawa huanza orodha ya vitu kadhaa. Watafsiri wanapaswa kuweka fomu ya umoja ikiwezekana. (See: [[rc://*/tw/dict/bible/other/fruit]])
## Mfano muhimu ya matamshi katika sura hii
### Mifano
Paulo anatumia mifano kadhaa katika sura hii ili kuonyesha pointi zake na kusaidia kuelezea masuala magumu. (See: [[rc://*/ta/man/translate/figs-metaphor]])
## Changamoto nyingine za kutafsiri katika sura hii
### "Ninyi mmekatwa kutoka kwa Kristo, ninyi mtakaohesabiwa haki na sheria, hamna tena neema."
Wasomi wengine wanafikiri kama Paulo anafundisha kwamba kutahiriwa husababisha mtu kupoteza wokovu wake. Wataalamu wengine wanafikiri kama Paulo anamaanisha kwamba kutii sheria ili kujaribu kupata haki na Mungu utamzuia mtu kuokolewa kwa neema. (See: [[rc://*/tw/dict/bible/kt/grace]])
## Links:
* __[Galatians 05:01 Notes](./01.md)__
__[<<](../04/intro.md) | [>>](../06/intro.md)__