sw_tn/gal/01/intro.md

1.8 KiB

Wagalatia 01 Maelezo ya Jumla

Muundo na upangiliaji

Paulo alianza barua hii tofauti na barua zake zingine. Anaongezea kwamba yeye "hakuwa mtume kutoka kwa wanadamu wala kwa shirika la kibinadamu, bali kupitia Yesu Kristo na Mungu Baba, aliyemfufua kutoka kwa wafu." Paulo labda alijumuisha maneno haya kwa sababu walimu wa uongo walimpinga na kujaribu kushusha mamlaka yake.

(note title)

Dhana maalum katika sura hii

Uzushi

Mungu milele huwaokoa watu kupitia injili ya kweli, ya kibiblia, tu. Mungu anakataa namuna lolote lingine la injili. Paulo anamwomba Mungu kuwalaani wale wanaofundisha injili ya uwongo. Huenda wasiokolewe. Wanapaswa kutendewa kama wasio Wakristo. (See: [[rc:///tw/dict/bible/kt/save]], [[rc:///tw/dict/bible/kt/eternity]], [[rc:///tw/dict/bible/kt/goodnews]] and [[rc:///tw/dict/bible/kt/condemn]] and rc://*/tw/dict/bible/kt/curse)

Tabia za Paulo

Watu wamoja katika kanisa la kwanza walikuwa wakifundisha kwamba Wayunani walistahili kutii sheria ya Musa. Ili kukataa mafundisho haya, katika mistari ya 13-16 Paulo anaeleza jinsi zamani alikuwa Myahudi mwenye bidii. Lakini Mungu bado alikuwa anahitaji ya kumwokoa na kumwonyesha injili ya kweli. Kama Myahudi, na mtume kwa Wayunani, Paulo alikuwa na tabia ya sifa ya pekee ya kukabiliana na suala hili. (See: rc://*/tw/dict/bible/kt/lawofmoses)

Changamoto nyingine za kutafsiri katika sura hii

"Mnaacha upesi hivi na mnafuata injili ya namuna nyingine"

Kitabu cha Wagalatia ni mojawapo ya barua za kwanza za Paulo katika Maandiko. Inaonyesha kwamba vita vya uzushi vilikuwepo hata katika kanisa la kwanza. (See: rc://*/ta/man/translate/figs-explicit)

| >>