forked from WA-Catalog/sw_tn
24 lines
764 B
Markdown
24 lines
764 B
Markdown
# 2 Timotheo 02 Maelezo kwa Ujumla
|
|
|
|
## Muundo na mpangilio
|
|
|
|
Matoleo mengine yanaweka maneno kulia kwa ukurasa kuliko maandishi mengine. ULB hufanya hivi na aya za 11-13 kuliko aya zingine. Huenda Paulo ananukuu shairi ama wimbo katika mistari hii.
|
|
|
|
## Dhana muhimu katika sura hii
|
|
|
|
### "Tutatawala naye
|
|
|
|
Wakristo waaminifu watatawala pamoja na Kristo siku zijazo. (Tazama: [[rc://*/tw/dict/bible/kt/faithful]])
|
|
|
|
## Mifano muhimu ya usemi katika sura hii
|
|
|
|
### Mifano
|
|
|
|
Katika sura hii, Paulo anatumia mifano nyingi kufundisha maisha ya kikristo. Anatumia mifano ya mwanajeshi, mwanariadha na mkulima. Baadaye anatumia mifano ya aina nyingi ya vyombo vya nyumbani.
|
|
|
|
## Links:
|
|
|
|
* __[2 Timothy 02:01 Notes](./01.md)__
|
|
|
|
__[<<](../01/intro.md) | [>>](../03/intro.md)__
|