sw_tn/1th/02/intro.md

18 lines
789 B
Markdown

# 1 Wathesalonike 02 Maelezo kwa ujumla
## Dhana muhimu katika sura hii
### Shahidi ya Mkristo
Paulo anathamini "Shahidi yake ya Kikristo" kama dhihirisho kwamba injili ni ya ukweli. Paulo anasema kwamba kuwa mtakatifu ama kuishi uungu unashuhudia wasio Wakristo. Paulo anatetea tabia yake ili shahidi wake isiathiriwe. (Tazama: [[rc://*/tw/dict/bible/kt/testimony]] and [[rc://*/tw/dict/bible/kt/godly]] and [[rc://*/tw/dict/bible/kt/holy]])
### Kuishi Kikristo
Sheria ya Musa ilihitaji watu kutoa dhabihu ya wanyama au ya nafaka ndani ya hekalu. Mungu hahitaji dhabihu nyakati hizi. Mungu anahitaji watu waishi kama sadaka.Tazama: [[rc://*/tw/dict/bible/kt/lawofmoses]])
## Links:
* __[1 Thessalonians 02:01 Notes](./01.md)__
__[<<](../01/intro.md) | [>>](../03/intro.md)__