sw_tn/1sa/08/08.md

12 lines
211 B
Markdown

# Niliwatoa Misrai
Hiki ni kitendo cha Bwana kuwatoa Waisraeli utumwani Misri miaka mingi iliyopita.
# Sasa wasikilize
"Sasa fanya kama vile wanavyokuomba ufanye"
# Waonye sawasawa
"uwe makini unapowaonya"