# Niliwatoa Misrai Hiki ni kitendo cha Bwana kuwatoa Waisraeli utumwani Misri miaka mingi iliyopita. # Sasa wasikilize "Sasa fanya kama vile wanavyokuomba ufanye" # Waonye sawasawa "uwe makini unapowaonya"