sw_tn/1co/14/01.md

16 lines
371 B
Markdown

# Sentensi Unganishi
Paulo anataka ifahamike kuwa kufundisha ni muhimu kwa sababu watu wanapata maelekezo kwa njia ya kufundishwa, hivyo kazi ya kufundisha lazima ifanywe kwa upendo.
# Utafuteni upendo
" ufuateni upendo" jitahidini kuwapenda watu"
# zaidi sana mpate kutoa unabii
" na fanyeni kazi kwa bidii ili muweze kutoa unabii"
# kuwajenga
" kuwasaidia watu"