# Sentensi Unganishi Paulo anataka ifahamike kuwa kufundisha ni muhimu kwa sababu watu wanapata maelekezo kwa njia ya kufundishwa, hivyo kazi ya kufundisha lazima ifanywe kwa upendo. # Utafuteni upendo " ufuateni upendo" jitahidini kuwapenda watu" # zaidi sana mpate kutoa unabii " na fanyeni kazi kwa bidii ili muweze kutoa unabii" # kuwajenga " kuwasaidia watu"