sw_tn/gen/30/35.md

20 lines
362 B
Markdown

# yaliyokuwa na milia na madoa
"ambazo zilikuwa na milia na madoa"
# yaliyokuwa na milia na madoa
"yaliyokuwa na madoa"
# kila aliyekuwa mweupe
"kila mbuzi ambaye alikuwa na weupe ndani yake"
# na weusi wote katika kondoo,
"na kondoo wote weusi"
# akawakabidhi katika mikono
Hapa "mikono" ina maana ya kutawala au kutunza. "akawafanya wanawe kuwatunza"