# yaliyokuwa na milia na madoa "ambazo zilikuwa na milia na madoa" # yaliyokuwa na milia na madoa "yaliyokuwa na madoa" # kila aliyekuwa mweupe "kila mbuzi ambaye alikuwa na weupe ndani yake" # na weusi wote katika kondoo, "na kondoo wote weusi" # akawakabidhi katika mikono Hapa "mikono" ina maana ya kutawala au kutunza. "akawafanya wanawe kuwatunza"