sw_tn/1ch/02/03.md

24 lines
328 B
Markdown

# Yahweh
Hili ni jina la Mungu alilo lirihidhisha kwa watu wake wa Agano la Kale.
# alimzalia Peresi na Zera
"aliza wana wake Perezi na Zera"
# wana wa tano
"wana wa 5"
# macho ya Yahweh
"kwa mujibu wa Yahweh|"
# Yahweh akamwua
Hii inamaanisha Yahweh aliruhusu Eri auliwe.
# mkwe wake
Hii ina maana ya mke wa mwanae.