sw_tn/psa/060/002.md

24 lines
583 B
Markdown

# Kauli Unganishi:
Mwandishi wa zaburi anaendelea kuzungumza na Mungu.
# Umeifanya nchi kutetemeka; umeichana
Mwandishi wa zaburi anazungumzia maafa katika nchi yake kana kwamba ni tetemeko.
# ponya nyufa zake
Kuwafanya watu kuwa na nguvu tena inazungumziwa kama kurekebisha nyufa chini na kwenye kuta.
# nyufa
upenyo mkubwa chini au kwenye kuta
# Umewafanya watu wako waone vitu vigumu
Hapa "tazama" inawakilisha "kupitia" au "kuteseka"
# kunywa divai ya kupepesuka
"divai inayotufanya tupepesuke." Kutojiweza inazungumziwa kama kupepesuka, kushindwa kusima wima vizuri.