sw_tn/psa/056/009.md

12 lines
458 B
Markdown

# watageuka
"watakimbia" au "watageuka na kukimbia"
# Mungu yu upande wangu
Hii inamaanisha kuwa Mungu anamwonesha fadhila. Katika hali hii inadokezwa kuwa Mungu anapambana dhidi ya adui wa mwandishi wa zaburi ili kumlinda. "Mungu ananipigania"
# Yeyote anaweza kunifanya nini?
Swali linatumika hapa kuonesha kuwa mwandishi wa zaburi haogopi watu, kwa sababu hawawezi kumuumiza sana. "Watu hawawezi kunifanya kitu!" au "Watu hawawezi kuniumiza vibaya!"