# watageuka "watakimbia" au "watageuka na kukimbia" # Mungu yu upande wangu Hii inamaanisha kuwa Mungu anamwonesha fadhila. Katika hali hii inadokezwa kuwa Mungu anapambana dhidi ya adui wa mwandishi wa zaburi ili kumlinda. "Mungu ananipigania" # Yeyote anaweza kunifanya nini? Swali linatumika hapa kuonesha kuwa mwandishi wa zaburi haogopi watu, kwa sababu hawawezi kumuumiza sana. "Watu hawawezi kunifanya kitu!" au "Watu hawawezi kuniumiza vibaya!"