sw_tn/psa/055/016.md

20 lines
498 B
Markdown

# Mimi
Msemo huu unaonesha kuwa mwandishi ameacha kuzungumzia kitu kimoja na sasa ameanza kujizungumzia mwenyewe.
# kuguna
"kulia"
# atasikia sauti yangu
Hapa "sauti" inawakilisha kati ya 1) mwandishi wa zaburi au 2) malalamiko ya mwandishi wa zaburi au kilio chake. "atanisikia" au "atasikia kuguna kwangu"
# maisha yangu
Hapa "maisha" inamwakilisha mwandishi wa zaburi. "mimi"
# kwa kuwa wale waliokuwa wakipigana dhidi yangu walikuwa wengi
"kwa kuwa watu wengi walipigana dhidi yangu"