# Mimi Msemo huu unaonesha kuwa mwandishi ameacha kuzungumzia kitu kimoja na sasa ameanza kujizungumzia mwenyewe. # kuguna "kulia" # atasikia sauti yangu Hapa "sauti" inawakilisha kati ya 1) mwandishi wa zaburi au 2) malalamiko ya mwandishi wa zaburi au kilio chake. "atanisikia" au "atasikia kuguna kwangu" # maisha yangu Hapa "maisha" inamwakilisha mwandishi wa zaburi. "mimi" # kwa kuwa wale waliokuwa wakipigana dhidi yangu walikuwa wengi "kwa kuwa watu wengi walipigana dhidi yangu"