sw_tn/psa/055/001.md

32 lines
821 B
Markdown

# Taarifa ya Jumla:
Usambamba ni kawaida katika mashairi ya Kiebrania.
# Kwa mwanamuziki mkuu
"Hii ni kwa kiongozi wa muziki kutumia katika kuabudu"
# kwenye vyombo vya nyuzi
"watu wanapaswa kucheza vyombo vya nyuzi na wimbo huu"
# Maschili
Hii inaweza kumaanisha mtindo wa muziki.
# Toa sikio kwa ombi langu
Kutoa sikio kwa mtu inamaanisha kusikiliza. "Sikiliza ombi langu"
# usijifiche kwa ombi langu
Kukataa kuvutia nadhari ombi lake inazungumziwa kama kujificha mbali na hilo ombi. "usiache kujali ombi langu"
# kwa sababu ya sauti ya adui zangu
Hapa "sauti" inawakilisha walichosema. "kwa sababu ya kile ambacho adui zangu wanasema"
# wanaleta shida kwangu
Kusababisha taabu inazungumziwa kama kuleta taabu. "wananisababisha kuwa na taabu kubwa" au "wanafanya vitu viovu kwangu na kwa hiyo nateseka"