# Taarifa ya Jumla: Usambamba ni kawaida katika mashairi ya Kiebrania. # Kwa mwanamuziki mkuu "Hii ni kwa kiongozi wa muziki kutumia katika kuabudu" # kwenye vyombo vya nyuzi "watu wanapaswa kucheza vyombo vya nyuzi na wimbo huu" # Maschili Hii inaweza kumaanisha mtindo wa muziki. # Toa sikio kwa ombi langu Kutoa sikio kwa mtu inamaanisha kusikiliza. "Sikiliza ombi langu" # usijifiche kwa ombi langu Kukataa kuvutia nadhari ombi lake inazungumziwa kama kujificha mbali na hilo ombi. "usiache kujali ombi langu" # kwa sababu ya sauti ya adui zangu Hapa "sauti" inawakilisha walichosema. "kwa sababu ya kile ambacho adui zangu wanasema" # wanaleta shida kwangu Kusababisha taabu inazungumziwa kama kuleta taabu. "wananisababisha kuwa na taabu kubwa" au "wanafanya vitu viovu kwangu na kwa hiyo nateseka"