sw_tn/psa/048/011.md

8 lines
403 B
Markdown

# Acha mlima Sayuni ufurahi
Mwandishi anazungumzia mlima Sayuni kana kwamba ni mtu anayeweza kufurahi. Msemo unamaanisha watu wanaoishi Yerusalemu. "Acha wale wanaoishi mlima Sayuni wafurahi"
# acha binti wa Yuda wafurahi
Mwandishi anazungumzia miji ndani ya Yuda kana kwamba ni watoto wa Yuda. Msemo huu unamaanisha watu wanaoishi katika miji hio. "acha watu wanaoishi katika miji ya Yuda wafurahi"