# Acha mlima Sayuni ufurahi Mwandishi anazungumzia mlima Sayuni kana kwamba ni mtu anayeweza kufurahi. Msemo unamaanisha watu wanaoishi Yerusalemu. "Acha wale wanaoishi mlima Sayuni wafurahi" # acha binti wa Yuda wafurahi Mwandishi anazungumzia miji ndani ya Yuda kana kwamba ni watoto wa Yuda. Msemo huu unamaanisha watu wanaoishi katika miji hio. "acha watu wanaoishi katika miji ya Yuda wafurahi"