sw_tn/psa/018/002.md

20 lines
690 B
Markdown

# Yahwe ni mwamba wangu
Daudi anamzungumzia Yahwe kana kwamba ni mwamba. Neno "mwamba" ni picha ya sehemu salama.
# mwamba wangu, boma langu
Hapa maneno "mwamba" na "boma" zinamaana ya kufanana na zinasisitiza kuwa Yahwe anatoa usalama kutoka kwa adui.
# mkimbilia
Kwenda kwa Yahwe kwa ajili ya ulinzi kunazungumziwa kama kumkimbilia. "kwenda kwake kwa ajili ya ulinzi"
# ngao yangu, pembe la wokovu wangu, na ngome yangu
Daudi anamzungumzia Yahwe kana kwamba ni "ngao," "pembe" la wokovu, na "ngome" yake. Yahwe ndiye anayemlinda na mabaya. Hapa wazo la kufanana linarudiwa kwa njia tatu kwa ajili ya mkazo.
# Nitaokolewa kutoka kwa adui zangu
"Nitaokolewa kutoka kwa adui zangu"