sw_tn/1co/11/27.md

16 lines
518 B
Markdown

# kula mkate na kuywa kikombe cha Bwana
" kula mkate wa Bwana au kunywa kikombe cha Bwana"
# chunguza
Paulo aneleza uhusiano wa mtu na Mungu, jinsi mtu anavyoishi katika maisha yake kwamba anatakiwa ayaangalie maisha yake na kuyatathmini kama mtu ayetaza kitu anapotaka kukinunua.
# bila kuupambanua mwili
Inaweza kumaanisha1) "na hatambui kuwa kanisa ni mwili wa Bwana" au 2) "na hafikiri kuwa anashiriki mwili wa Bwana."
# wagonjwa na dhaifu
Maneno haya yanamaana zizokaribiana: kuwa nyonge, kuwa na madhara