# kula mkate na kuywa kikombe cha Bwana " kula mkate wa Bwana au kunywa kikombe cha Bwana" # chunguza Paulo aneleza uhusiano wa mtu na Mungu, jinsi mtu anavyoishi katika maisha yake kwamba anatakiwa ayaangalie maisha yake na kuyatathmini kama mtu ayetaza kitu anapotaka kukinunua. # bila kuupambanua mwili Inaweza kumaanisha1) "na hatambui kuwa kanisa ni mwili wa Bwana" au 2) "na hafikiri kuwa anashiriki mwili wa Bwana." # wagonjwa na dhaifu Maneno haya yanamaana zizokaribiana: kuwa nyonge, kuwa na madhara