sw_tn/sng/05/02.md

45 lines
1.1 KiB
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Hapa ni mwanzo wa Sehemu ya Nne ya kitabu
# Maelezo ya Jumla
Mwanamke anatumia tafsida kueleza ndoto yake ili kwamba iweze kutafsiriwa kwa njia mbili tofauti: 1) mwanamke anaeleza ndoto kuhusu usiku mpenzi wake alipo kuja kumtembelea nyumbani mwake; na 2) mwanamke anaeleza ndoto kuhusu kuanza kulala na mpenzi wake.
# lakini moyo wangu ulikuwa umeamka
"lakini moyo wangu ulikuwa umeamka"
# Nifungulie
Hii ya husu kufungua mlango lakini yaweza tafsiriwa kama ombi la kimapenzi. "Fungua mlango kwa ajili yangu" au "Jifungue kwangu"
# dada yangu
Maneno ya mahaba. Ona jinsi ulivyo tafsiri 4:9
# mpenzi wangu
Ona jinsi ulivyo tafsiri 1:9
# hua wangu
Ona Jinsi ulivyo tafsiri 2:14
# usiye na doa
"mkamilifu wangu" au "mwaminifu wangu" au "usiye na hatia wangu"
# unyevu
matone ya maji au ukungu unaoa kuwa wakati wa baridi ya usiku hali ya hewa inaposhuka
# nywele zangu na unyevu wa usiku
hewa nyevu ya usiku ya fanya nywele za mwanamme kulowa kwasababu kasimama nje.
# kichwa changu kimelowa na matone, nywele zangu na unyevu wa usiku
Hii mistari miwili ina maanisha kitu kimoja.