forked from WA-Catalog/sw_tn
21 lines
444 B
Markdown
21 lines
444 B
Markdown
# Kwa kuwa maandiko husema
|
|
|
|
Hapa andiko limefanyika nafsi hai kama Mungu anazungumza na Farao. "Maandiko hutunza kumbukumbu kwa Mungu kusema"
|
|
|
|
# Mimi...changu
|
|
|
|
Mungu anarejesha kwake mwenyewe.
|
|
|
|
# wewe
|
|
|
|
umoja
|
|
|
|
# na ili kwamba jina langu litangazwe katika inchi yote.
|
|
|
|
"na kwamba watu waweze kulitangaza jina langu katika inchi yote"
|
|
|
|
# na yeye ambaye apendaye, humfanya kuwa mgumu wa moyo.
|
|
|
|
Mungu humfanya mgumu wa moyo yule apandaye kumfanya.
|
|
|