sw_tn/rev/21/03.md

17 lines
618 B
Markdown

# Nilisikia sauti kubwa kutoka kwenye kiti cha enzi ikisema
Neno "sauti" inamaanisha yule anayezungumza. "mtu akinena kwa sauti kutoka katika kiti cha enzi akisema"
# Tazama!
Nenno "Tazama" inatuweka macho kuwa makini na taarifa za kushangaza zifuatazo.
# Makao ya Mungu yapo pamoja na wanadamu, naye ataishi pamoja nao
Misemo hii miwili inamaanisha kitu kimoja na inasisitiza kuwa, hakika, Mungu ataishi miongoni mwa watu.
# Atafuta kila chozi kutoka katika macho yao
Machozi hapa yanawakilisha huzuni. "Mungu atafuta huzuni yao kama vile anafuta machozi yao" au "Mungu atawasababisha wasiwe na huzuni tena"