forked from WA-Catalog/sw_tn
41 lines
1.2 KiB
Markdown
41 lines
1.2 KiB
Markdown
# Taarifa ya Jumla:
|
|
|
|
Usambamba ni kawaida katika mashairi ya Kiebrania.
|
|
|
|
# Zaburi ya Daudi
|
|
|
|
Maana zinazowezekana ni 1) Daudi aliiandika zaburi au 2) zaburi inamhusu Daudi au 3) zaburi iko katika mtindo wa zaburi za Daudi.
|
|
|
|
# mwamba wangu
|
|
|
|
Maana zinazowezekana ni1) "yule ambaye ananiweka salama" au 2) "yule anayenipa nguvu"
|
|
|
|
# anayefunza mikono yangu kwa ajili ya vita na vidole vyangu kwa mapambano
|
|
|
|
Maneno "mikono" na "vidole" zinamaana ya "mimi." "anayeniandaa kwa ajili ya vita" au ""anayeniandaa kwa ajili ya mapambano"
|
|
|
|
# uaminifu wangu wa agano
|
|
|
|
"yule ambaye ananionesha uaminifu wa agano"
|
|
|
|
# ngome yangu ... namkimbilia
|
|
|
|
Mwandishi wa zaburi anatumia sitiari kusisitiza kwamba Yahwe atamlinda.
|
|
|
|
# mnara wangu wa juu
|
|
|
|
Daudi anamzungumzia Yahwe kana kwamba ni ngome inayomlinda dhidi ya mashambulizi. Yahwe ndiye anayemlinda Daudi na hatari.
|
|
|
|
# ngao yangu
|
|
|
|
Daudi anamzungumzia Yahwe kana kwamba ni ngao inayomlinda askari. Yahwe ndiye anayemlinda Daudi dhidi ya hatari.
|
|
|
|
# yule ambaye namkimbilia
|
|
|
|
Kwenda kwa Yahwe kunazungumziwa kama kumkimbilia. "yule ambaye ninaenda kwake kwa ajili ya ulinzi"
|
|
|
|
# yule unayedhibiti mataifa chini yangu
|
|
|
|
"yule anayenisaidia kuyashinda mataifa mengine"
|
|
|