sw_tn/psa/119/109.md

21 lines
559 B
Markdown

# Maisha yangu daima yako mkononi mwangu
Hii ni lahaja inayomaanisha maisha ya mwandishi yako hatarini wakati wote. "Adui zangu huwa wanajaribu kuniua"
# Sisahau sheria yako
"Daima huwa nakumbuka sheria zako"
# Waovu wameweka mtego mbele yangu
Watu waovu kujaribu kumshika na kumuua mwandishi inazungumziwa kana kwamba ni wawindaji wanaanda mtego kumshika mnyama.
# Waovu
"Watu waovu"
# Sijapotea kutoka kwenye maagizo yako
Kutokaidi maagizo ya Mungu inazungumziwa kana kwamba mwandishi hajatembea mbali na maagizo ya Mungu. "Ninatii maagizo yako"