sw_tn/psa/105/012.md

21 lines
441 B
Markdown

# Kauli Kiunganishi
Mtunga zaburi anaandika kuhusu Israeli.
# walipokuwa wachache tu kwa idadi
Neno "walipokuwa" ina maana ya Waisraeli.
# na wageni katika nchi
Inadokezwa ya kwamba "nchi" ina maana ya Kaanani. "na walikuwa wageni katika nchi ya Kaanani"
# Waliondoka kutoka
"Waliendelea kutangatanga"
# kutoka taifa kwa taifa na kutoka ufalme mmoja kwa mwingine
Misemo hii miwili ina maana moja na inatumika pamoja kwa msisitizo.