sw_tn/psa/077/011.md

25 lines
362 B
Markdown

# Taarifa ya Jumla:
Mwandishi anaanza kuzungumza na Yahwe.
# ita akilini
"kumbuka"
# matendo yako makuu ya kale
"mambo ya ajabu uliyofanya zamani"
# Nitatafakari matendo na nitayakumbuka
Misemo hii miwli inaeleza wazo la kutafakari juu ya kile ambacho Yahwe ametenda.
# Nitatafakari
"kuwaza kwa kina kuhusu"
# nitayakumbuka
"kuwaza yanacho maanisha"