# Taarifa ya Jumla: Mwandishi anaanza kuzungumza na Yahwe. # ita akilini "kumbuka" # matendo yako makuu ya kale "mambo ya ajabu uliyofanya zamani" # Nitatafakari matendo na nitayakumbuka Misemo hii miwli inaeleza wazo la kutafakari juu ya kile ambacho Yahwe ametenda. # Nitatafakari "kuwaza kwa kina kuhusu" # nitayakumbuka "kuwaza yanacho maanisha"