|
# kwake ambaye anapaswa kuogopwa
|
|
|
|
"Yahwe, ambaye wanapaswa kumwogopa"
|
|
|
|
# Huzikata roho za wakuu
|
|
|
|
Msemo "Huzikata roho" ni lahaja inayomaanisha kuwa huvunja roho au huzinyenyekesha. "Huwanyenyekesha wakuu"
|
|
|
|
# anaogopwa na wafalme wa duniani
|
|
|
|
"wafalme wa duniani wanamwogopa"
|
|
|