# kwake ambaye anapaswa kuogopwa "Yahwe, ambaye wanapaswa kumwogopa" # Huzikata roho za wakuu Msemo "Huzikata roho" ni lahaja inayomaanisha kuwa huvunja roho au huzinyenyekesha. "Huwanyenyekesha wakuu" # anaogopwa na wafalme wa duniani "wafalme wa duniani wanamwogopa"