forked from WA-Catalog/sw_tn
29 lines
1018 B
Markdown
29 lines
1018 B
Markdown
# Taarifa ya Jumla:
|
|
|
|
Mistari hii ni zaidi ya mwisho wa zaburi hii. Ni kauli ya kufunga ya kitabu kizima cha 2 cha Zaburi, kinachoaanza Zaburi 42 hadi Zaburi 72.
|
|
|
|
# Yahwe Mungu, Mungu wa Israeli, abarikiwe
|
|
|
|
Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "Watu wambariki Yahwe Mungu, Mungu wa Israeli"
|
|
|
|
# Jina lake tukufu libarikiwe milele
|
|
|
|
Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "Watu walibariki jina lake tukufu milele" au kufanya "jina" kama namna nyingine ya kusema Yahwe mwenyewe, "watu daima wajue jinsi alivyo mtukufu"
|
|
|
|
# Jina lake tukufu libarikiwe
|
|
|
|
"yeye aliye mtukufu, abarikiwe"
|
|
|
|
# dunia nzima ijazwe na utukufu wake
|
|
|
|
Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "utukufu wake uijaze dunia yote" au "aijaze dunia yote na utukufu wake"
|
|
|
|
# Amina na Amina
|
|
|
|
Neno "Amina" linarudiwa kusisitiza kukubali kilichosemwa. "Hakika iwe hivyo"
|
|
|
|
# Maombi ya Daudi mwana wa Yese yanaisha
|
|
|
|
Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "Daudi mwana wa Yese amemaliza maombi yake" au "Haya ni maombi ya mwisho ya Daudi mwana wa Yese"
|
|
|