# wanguke chini mbele yake
"sujudu mbele yake" au "mheshimu yeye kama mfalme wao"
# mataifa yote
"watu wanaoishi katika kila taifa"
# hana msaidizi mwingine
"hakuna wa kumsaidia"