# wanguke chini mbele yake "sujudu mbele yake" au "mheshimu yeye kama mfalme wao" # mataifa yote "watu wanaoishi katika kila taifa" # hana msaidizi mwingine "hakuna wa kumsaidia"