sw_tn/psa/067/005.md

9 lines
301 B
Markdown

# Achawatu wakusifu ... acha watu wakusifu
Kishazi cha pili kinaogenza uzito wa maana ya ile ya kwanza kwa kusisitiza umuhimu wa kumsifu Mungu.
# Nchi imetoa mazao yake
Hapa mwandishi anazungumzia "dunia" kana kwamba imechagua kutoa mazao kwa watu. "Tumevuna mazao mengi kutoka kwenye mazao yetu.