# Achawatu wakusifu ... acha watu wakusifu Kishazi cha pili kinaogenza uzito wa maana ya ile ya kwanza kwa kusisitiza umuhimu wa kumsifu Mungu. # Nchi imetoa mazao yake Hapa mwandishi anazungumzia "dunia" kana kwamba imechagua kutoa mazao kwa watu. "Tumevuna mazao mengi kutoka kwenye mazao yetu.