# Nitaimba sifa kwa jina lako milele
Hapa "jina" linamaanisha Mungu mwenyewe. "Nitaimba sifa kwako milele"
# nadhiri zangu
Hii zinamaanisha ahadi ya kutoa sadaka kwa Mungu kila siku.