# Nitaimba sifa kwa jina lako milele Hapa "jina" linamaanisha Mungu mwenyewe. "Nitaimba sifa kwako milele" # nadhiri zangu Hii zinamaanisha ahadi ya kutoa sadaka kwa Mungu kila siku.