sw_tn/psa/006/008.md

9 lines
252 B
Markdown

# Yahwe amesikia ombi langu la huruma ... Yahwe amekubali ombi langu
Mistari hii miwili ina maana ya kufanana.
# Yahwe amekubali ombi langu
Kuwa tayari kufanya ambacho Daudi ameomba inazungumziwa kama kukubali ombi lake. "Yahwe atajibu ombi langu"